Shopah Dar Es Salaam

Kwa Ununuzi Rahisi

Kutuhusu

Shopah inakupa huduma ya ununuzi wa bidhaa kwa urahisi ikiwemo kwa mtandao au kwenda dukani kwa niaba yako. Shopah inajivunia wafanyi kazi wenye ustaarabu (sio mashine) na tuko tayari kufanya ununuzi wa bidhaa mbali mbali kwa niaba yako. Huduma zetu ni ya bei nafuu ikilinganishwa na ubora na wa huduma na kiwango cha ununuzi. Ili kupata huduma zetu, mteja anahitaji kutuma orodha ya manunuzi nasi tutashugulikia iliyo bakia. Kwa kifupi, Shopah inakupatia fursa ya kushugulikia mambo mengine mbali na manunuzi ya bidhaa huku ikikupunguzia shida na majukumu mengi inayo kuja na manunuzi. Tujaribu Leo!

Shopah inavyofanya kazi

Mkurungezi Mkuu

KELVIN JAMES

Wasiliana Nasi

Contact Details


Nambari ya simu: +255745182539
Whatsapp: +255686926450
Barua Pepe: info@shopah.co.ke
Thank you. The Mailman is on His Way :)
Sorry, don't know what happened. Try later :(